Wednesday, April 04, 2012

WATU WENGI WAJITOKEZA KUPATA ELIMU YA SARATANI YA TEZI DUME PAMOJA NA UPIMAJI WA SARATANI HIYO TAREHE 25 MACHI, 2012

Pale katika ukumbi wa Leecars Pub, Namanga jijini Dar es Salaam palikuwa na shughuli ya utoaji elimu ya saratani ya tezi dume ambayo hujulikana pia kama saratani ya kibofu cha mkojo kwa wanaume ambapo utolewaji huo wa elimu uliambatana upimaji wa saratani hiyo.

Baadhi ya wanamichezo walioshiriki katika zoezi la upimaji na elimu ya saratani ya tezi dume



4 comments:

  1. hongereni sana kwa kuwa ni blog ya kipekee naamini hata mm nimevutiwa na vitu mnavyofanya hongera sana

    ReplyDelete
  2. ni jinsi gani mtu anaweza kuwa mwanachama katika club yenu mana nimependa vitu mnayofanya

    ReplyDelete
  3. hivi club yenu inamuda gani mana mnafanya vitu vikubwa sana tofauti na clubzingine

    ReplyDelete
  4. Klabu ya Biafra imeanzoshwa miaka miwili iliyopita na imesajiliwa rasmi Januari 20, 2012 baada ya kupata hati ya usajili. Kujiunga klabu ni jambo rahisi tu, unatakiwa kuwasiliana na katibu kwa namba zinazooenkana hapo juu. Ahsante kwa kutupongeza na tunakukaribisha kujiunga na klabu yetu.

    ReplyDelete