Wednesday, September 28, 2011

IZ MANCHESTER UNITED???? NDANI YA 90 DEGREES PUB - MAN U VS FC BASEL

Makamu Mwenyekiti A. Mollel akiwa na Ibrahim (Ibrah) Kilasa 
Ibrah ni shabiki wa Arsenal na jana aliishangilia FC Basel

hapa matokeo yalikuwa 3 - 3

kaka Maseko (mwenye shati jeupe) akiwakilisha Biafra kama kawaida

Monday, September 26, 2011

WANABIAFRA WAHUDHURIA AROBAINI YA STANLEY NJANGA 24/09/2011

Wanabiafra Peter (ghost) wa mbele, akifuatiwa na Kulthum na Aziza kwenye foleni ya chakula

Baadhi ya wanabiafra waliojumuika katika arobaini ya Stanley Njanga - Kinondoni Isele



Katibu wa Biafra Sports Club akiwaongoza wadau kupata chakula cha mchana kwenye arobaini ya Stanley Njanga


Friday, September 23, 2011

MLO WA PAMOJA!

Wanabiafra Kids pilau

watoto kutoka vituo mbalimbali vya watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakila pilau pamoja na watoto wa biafra kids

Mazoezi hujenga na kuimarisha afya!

Wanabiafra kijasho kikiwatoka baada ya mbio defu za pole pole

Thursday, September 22, 2011

TUNAVUTA KAMBA NA KUKIMBIZA KUKU!!

 timu ya kuvuta kamba - wavulana

 Mshindi wa kukimbiza kuku akiwa na zawadi yake mkononi

 Timu ya kuvuta kamba - wakubwa inayoongozwa na Katibu
Timu ya kuvuta kamba - wakubwa inayoongozwa na makamu mwenyekiti

Tunahitaji kuungwa mkono!

Kikosi cha Biafra Kids

Tuesday, September 20, 2011

Sunday, September 18, 2011

BAADHI YA WACHEZAJI WA BIAFRA KIDS FOOTBAL CLUB

Hussein Taiddin 

Goodie

Babulu Hamad
Roman Benard

Qasseem Kibbesi

Mohammed Ahmad

David Fransisco


Fareed Masoud

MAN U VS CHELSEA AT 90 DEGREES PUB KINONDONI 18/09/2011

Ni kama anasema "hapa matokeo ya mechi anayajua katibu"

Nina furaha kuwa shabiki wa Simba na Man U

Mdau Godlove Makima a.k.a sleepophobia aki-text matokeo ya mechi


Yanga/Chelsea vs Simba/Manu

Baada ya Torres kukosa goli la wazi kabisa, aliamua kuacha skafu yake kitini

Beki wa Biafra Kids Fotball Club na shabiki wa Man U Patrick Nyaboroga .aka. Kone akiwa na furaha baada ya mechi kwisha kwa ushindi mnono wa Man U

MAN U VS CHELSEA AT 90 DEGREE PUB KINONDONI 18/09/2011

Makao makuu ya Biafra Sports Club - 90 DEGREES PUB, ISELE KINONDONI

Makamu Mwenyekiti (Manu U) akiwa na mdau Fredour (Chelsea) 

Mshabiki wa Chelsea akiwa ndani ya sare akisubiri mtanange

Mwenyekiti wa Biafra Sports Club - Rashid Mattaka (Chelsea) akijipatia mvinyo!

Wadau wakifuatilia kwa makini mtanange wa Man U na CHelsea ndani ya 90 Degrees Pub

MAANDALIZI YA CHAPATI NDANI YA 90 DEGREES PUB - KINONDONI

Dada Magreth akiandaa chapatic kwa ajili ya wajumbe wa kikao cha pili cha katiba

BAADHI YA WACHEZAJI WA BIAFRA KIDS FOOTBAL CLUB


MATUKIO BAADA YA MICHEZO KWENY VIWANJA VYA KUNDUCHI MTONGANI 11/09/2011

Naiona Penasol kwenye hili boksi la Ceres Juice
Mwenyekiti wa Kunduchi Kwanza akiwakaribisha wadau 
Jamani mi ntakata!!! 
NAKATAAAAAAA!!!
mwenye fulana nyekundu ni kama anasema "WE KATA TU!!!!!! NTAKUSAIDIA"
Mambo ya NYAMA, BIA, NYAMA, NYAMA
Makamu Mwenyekiti baada ya KUKATA!!
Naahidi kucheza EFFRAKATA hadi kesho!
John Gako wa Namanga Jogging akiteta na Katibu wa Kunduchi Kwanza
Dada Nash  a.k.a. Mkurugenzi akionyesha namna nyonga invyonyongwa
mai glasi is vere vere orijino ; medi in kilimanjaro wota - anaza wani medi in uhai wota