Sunday, September 18, 2011

MATUKIO MBALIMBALI YA BONANZA LA KUNDUCHI KWANZA JOGGING KATIKA VIWANJA VYA KUNDUCHI MTONGANI 11/09/2011

Katibu wa Biafra Sports CLub Poli Yahya (mwenye fulana nyeupe) akiwa na mdau Issa Majaliwa



Mkurugenzi wa Biafra Sports Dada Nash (mwenye fulana nyekundu) akiwa na wanabiafra wakipanga mikakati ya mechi ya wanawake

Kikosi kamili cha mchanyato sports club

ni kama anasema "hapa mguuni, kuna goli 5"

ni kama wanasema "huyu anafunga wapi??? mbona goli liko huku!!"

Tumeshindaaaaaaaa!!

Taifa Queens ya Kunduchi, Namanga na Biafra Jogging!

No comments:

Post a Comment