Monday, September 12, 2011

Rambi rambi za ajali ya meli znz

Wanachama wa klabu ya Michezo ya Biafra kwa kushirikiana na uongozi wa 90 Degrees Pub unatoa rambirambi zao kwa ndugu, jamaa, marafiki na kwa watanzania wote kwa ujumla kwa msiba uliolikumba taifa kutokana na ajali ya kuzama kwa meli ya Mv Spice huko Zanzibar na kuuwa watu zaidi ya 200.

Mwenyezi Mungu awape nguvu wafiwa wote na azilaze roho za marehemu wote mahala pema peponi Amen

No comments:

Post a Comment