Thursday, July 11, 2013

TUNAWATAKIA WAISLAMU WOTE ULIMWENGUNI MFUNGO MWEMA WA MWEZI WA RAMADHANI

Mwenyekiti wa klabu ya michezo ya Biafra ndugu Abdul A. Mollel kwa niaba ya kamati ya Utendaji ya Biafra anawatakia wanachama pamoja na waislamu wote ulimwengu hery ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani katika mwaka huu 1434 Hijri. 

Katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan mazoezi yataendelea na amewasisitiza wanachama ambao wanashiriki katika ibada ya kufunga kutoacha mazoezi ili kutunza afya zao.

No comments:

Post a Comment