Wednesday, July 17, 2013

KUTOKA FAITA JOGGING HII INATUHUSU SOTE ......

Leo tarehe 17 Julai, 2013, Mlezi (Patron) wa klabu ya Faita Jogging ya Temeke, Dar es Salaam ndugu Mustafa Mgawe ametoa taarifa ya bonanza la uchangiaji damu litakaloandaliwa na klabu yake siku za usoni. Pia katika taarifa hiyo ametoa wito kwa viongozi mbalimbali wa kiserikali kushiriki katika tukio hilo muhimu. 
Kwa upande wetu, sis tunaunga mkono maandalizi ya bonanza hilo na pia tunaahidi kushiriki kikamili ikiwemo kuchangia damu kwa kuwa tunaamini jambo hilo ni la muhimu kwa taifa letu. 

 

No comments:

Post a Comment