Monday, June 11, 2012

BIAFRA JOGGING NDANI YA JEZI MPYA YAFANYA MAZOEZI YA PAMOJA NA NAMANGA NA KUNDUCHI KWANZA

Klabu ya michezo ya Biafra imezindua awamu ya kwanza ya uzinduzi wa jezi za mazoezi ya mbio za pole pole (jogging) kwa kufanya mazoezi ya pamoja na klabu za Namanga Jogging na Kunduchi Kwanza Jogging.
Wadada wa Biafra Jogging waking'aa ndani ya 'uzi' mpya



Jezi mpya ya Biafra Jogging inavyoonekana kwa nyuma

Wanamichezo wakikatiza maeneo ya polisi Oysterbay

Mazoezi hayo yaliyofanyika jana jumapili tarehe 10 Juni, 2011 yalianzia na kuishia katika klabu ya Namanga na wanamichezo walikimbia zaidi ya kilomita 8 kwa kupitia barabara za old Bagamoyo na Ali Hassan Mwinyi (Namanga, Oysterbay Polisi, Drive -Inn, Moroko, Viktoria, Sayansi, Rose Garden, Kwa Nyerere, Chama, Drive-Inn, Oysterbay Polisi na Namanga).







Wadada wa Kunduchi Kwanza waking'aa pia na uzi wao


Viongozi wa klabu zote 3 walikutana




2 comments:

  1. dah hii ilikuwa ya kipee na ilinoga sana hongera biafra

    ReplyDelete
  2. Yeah, jezi zetu pia zilivutia sana, natamani kuona kila mwanachama ana jezi yake wote tun'gare.

    ReplyDelete