BIAFRA JOGGING & SPORTS CLUB – 90 DEGREE PUB KINONDONI
RATIBA YA HAFLA YA KUJUMUIKA PAMOJA NA WATOTO KATIKA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA IDD MOSI, UKUMBI WA 90 DEGREES PUB KINONDONI - AGOSTI, 2011
MUDA | TUKIO |
07:00 – 08:00 | Wadau wote kuwasili klabuni na maandalizi ya kuanza kukimbia |
08:00 – 09:00 | Uzinduzi wa mbio |
09:00 – 09:30 | Chai kwa watoto |
09:30 – 10:30 | Kuwasili uwanjani na kuanza michezo mbalimbali |
10:30 – 11:00 | Kurudi klabuni na kuwasili kwa mgni rasmi |
11:30 – 11:45 | Kusomwa Risala ya watoto |
11:45 – 12:30 | Burudani ya nyimbo na maigizo toka kwa watoto |
12:30 – 12:45 | Risala na maelezo mafupi ya klabu |
12:45 – 01:00 | Maneno machache toka kwa mgeni rasmi (kujibu risala) |
01:00 – 01:45 | Mashindano mbalimbali ya watoto (chemsha bongo, kucheza, n.k.) |
01:45 – 02:45 | Chakula cha mchana na burudani |
02:45 – 03:00 | Burudani na maandalizi ya zawadi |
03:00 – 03:30 | Kugawa zawadi kwa watoto walioshiriki mashindano |
03:30 – 04:00 | Burudani ya muziki kwa watoto |
04:00 – 04:30 | Watoto kuondoka |
KARIBU SANA, JUMUIKA PAMOJA NA WATOTO KWA UPENDO, FURAHA NA MATUMAINI
No comments:
Post a Comment